reyzzap
JF-Expert Member
- Oct 3, 2014
- 6,813
- 21,807
sory kama nitakukwaza ndugu ila hii simu niliiona na ninaihtaj ila kwa picha tu nikagundua n copy
1. Position ya flash inatakiwa iwe kulia,
2. hilo neno samsung hapo chini halitakiwi liwepo,
3. Neno samsung kwa nyuma limefifia,
4. Back cover sio glass,
5. Bezzel n kubwa,
6. Position ya power batan, ipo kushoto na inatakiwa kulia,
7. angle ziko more round,
8. Mbele juu kunatakiwa kuwe na dual camera(mbili) upande wa kulia wa speaker na kushoto sensor pamoja na LED(Total 4)
9. Lowest screen resolution,
10. Wallpaper imegeuka, hio triangle inatakiwa iwe upande wa kulia,
11. No alumminium/steel flame,
12. Camera(lens hapo katkat n ndogo sana),
13. Fingerprint scanner hapo inaonesha kbsa sio halisi
14. info kwa nyuma chin zinaonesha sio za samsung,
15. Colour sio pure gold, n.k
kwa hzo picha mbili tu tena zilizofifia nimegundua yote hayo. Vp zingekua nying na inaonesha vzr? hapo bado sijazungumzia upana na unene wa cm, position ya volume up/dow button, position ya speaker na mic, uzito wa simu, IP68 cetirfied, hvyo vyote n hardware sijagusa simu nikaingia kwenye software. Yan kwa ufup, kwa mjanja, everthing you see there..., its not real.
Samahan kama nimekuharibia biashara, ila kuna uwezekano ulipigwa hujui au ulitaka umpige mtu,
samahan tena.