Wauza smartphone tukutane hapa

Wauza smartphone tukutane hapa

Kuna mtu nataka kumvua samsung A8 +

Anataka nimpe laki nane, vip hapa siibiwi kweli?
 
Mkuu mimi nikitaka kitu kama inayotumika ni hela yangu siisikilizii sana juzi nimeitoa 8.5k humu humu na ndio ninayotumia sasa hivi.
Huyo mtu ameniambia ametumia miez miwili tu, na bei yake dukan ni million

1.3

Sasa nauliza nijue
 
Iphone4s
Haina tatzo
CONT:0655028881
Drop ur offer
eb2523d2-b39e-42ac-b19e-6eea51a44d42.jpg
52f59688-1992-489c-a6e1-13aab40daba7.jpg
 
Back
Top Bottom