JOH CARLOS
JF-Expert Member
- May 13, 2016
- 579
- 269
Em zingatia sheria za kutangaza biashara mkuu mnatupa wakati mgumu.nauza samsung galaxy s3 nzuri sana haina tatizo lolote....110k..nipo dar...ni pm tufanye kazi
Mkuu ukipenda kitu nunua tu usiumize kichwa usichungulie mfuko.Kuna mtu nataka kumvua samsung A8 +
Anataka nimpe laki nane, vip hapa siibiwi kweli?
Usemalo kweli mkuu,Mkuu ukipenda kitu nunua tu usiumize kichwa usichungulie mfuko.
Mkuu mimi nikitaka kitu kama inayotumika ni hela yangu siisikilizii sana juzi nimeitoa 8.5k humu humu na ndio ninayotumia sasa hivi.Usemalo kweli mkuu,
Huyo mtu ameniambia ametumia miez miwili tu, na bei yake dukan ni millionMkuu mimi nikitaka kitu kama inayotumika ni hela yangu siisikilizii sana juzi nimeitoa 8.5k humu humu na ndio ninayotumia sasa hivi.
Chukua mzigo huo kama umejiridhisha hakuna tatizo linalokupa wasi wasi zama mfukoni.Huyo mtu ameniambia ametumia miez miwili tu, na bei yake dukan ni million
1.3
Sasa nauliza nijue
Ok mkuu nimekuelewaChukua mzigo huo kama umejiridhisha hakuna tatizo linalokupa wasi wasi zama mfukoni.
ni pm nikuletee simu ulipo...wakat mgum unaupataje wakat hata sim hujainunuaEm zingatia sheria za kutangaza biashara mkuu mnatupa wakati mgumu.
njoo chukua s8 nzuri jet black,ina mpasuko mdogo kwenye kioo nipe 700Kuna mtu nataka kumvua samsung A8 +
Anataka nimpe laki nane, vip hapa siibiwi kweli?
Ungenielewa navomaanisha ungerekebisha makosa yako.ni pm nikuletee simu ulipo...wakat mgum unaupataje wakat hata sim hujainunua
una maanisha nnUngenielewa navomaanisha ungerekebisha makosa yako.
Pm sio kipaumbele, kwanza unatakiwa uweke picha ya kitu husika, namba unazopatikana na mahali ulipo.una maanisha nn
aya sawa...tangazo lijalo ntafanya ivoPm sio kipaumbele, kwanza unatakiwa uweke picha ya kitu husika, namba unazopatikana na mahali ulipo.
100k
100k