reyzzap
JF-Expert Member
- Oct 3, 2014
- 6,813
- 21,807
M nimeelewa ulichomaanisha, ukweli n kwamba n zaid ya hatari, na uhatari mkubwa upo kwenye suala la kiusalama na si ubovu wa simu,TAHADHARI:
Usinunue wala kutumia simu 'Used' iliyokuwa Inatumiwa na mtu mwingine. NI HATARI SANA.
Waliowah kukutwa na hili janga au walioshuhudia kwa mtu kama nilivyoshuhudia ndo watakuelewa.
Kama hamna jinsi basi jitahd akupe na reset aliyonunulia na mkabidhiane kwa maandishi na sahihi na ikbd yarekodiwe hata kwa video,
Waweza uone n uzwazwa au kupoteza mda ila likitokea la kutokea utajuta,
Mimi asahv hata USB kwa mtu sinunui bila kujirdhsha kama ni salama na nitabaki salama