Wauza smartphone tukutane hapa

TAHADHARI:
Usinunue wala kutumia simu 'Used' iliyokuwa Inatumiwa na mtu mwingine. NI HATARI SANA.
M nimeelewa ulichomaanisha, ukweli n kwamba n zaid ya hatari, na uhatari mkubwa upo kwenye suala la kiusalama na si ubovu wa simu,
Waliowah kukutwa na hili janga au walioshuhudia kwa mtu kama nilivyoshuhudia ndo watakuelewa.

Kama hamna jinsi basi jitahd akupe na reset aliyonunulia na mkabidhiane kwa maandishi na sahihi na ikbd yarekodiwe hata kwa video,
Waweza uone n uzwazwa au kupoteza mda ila likitokea la kutokea utajuta,
Mimi asahv hata USB kwa mtu sinunui bila kujirdhsha kama ni salama na nitabaki salama
 
Iphone 7+ 128gb comes with all accessories good as new
Price: 1.30m fixed
0623953036
 
Note 3 bado mpyA
Price 450k
Contact 0758290320
Location Dsm
 
Ili tukose wateja au....kwa mm nkitaka kuuza simu yangu nmuuzie nani
 
Yaani dukani note 4 350k hadi 380k ila wewe note 3 unauza 450k hahahah huwezi kuwa mzima.
Mwenyewe nimeshangaa, nimeona hilo tangazo nikazimia kwanza, achana na note 4, hio hio hela yake unapata note 5 used safi kbsa au ukiongeza 50-100 unabeba mpya,
 
Tecno camon cx.
Ram 2gb.
Internal 16gb.
Camera 16/16.
Ina 4g
Inahitajika 230k.
Nicheki 0743253260 kwa picha na biashara
NB: Ipo kwenye hali nzuri
location ni mbeyaView attachment 912012
Mkuu ukipata Mwenye Samsung $6 Edge yyte ile ili mrad tu iwe kwenye muonekano mzur ww ulye mbeya ni Jiran na nilipo so hapo naweza fika chap na kugeuza nikarud kwenye majukum Yangu bajet yngu ni 350k
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…