Mkuu ukipata Mwenye Samsung $6 Edge yyte ile ili mrad tu iwe kwenye muonekano mzur ww ulye mbeya ni Jiran na nilipo so hapo naweza fika chap na kugeuza nikarud kwenye majukum Yangu bajet yngu ni 350k
Fanya 180k mkuuUkifika 150K kesho naichukua
Wauzaji ndyo hakunaWapenzi wa hili jukwaa letu sijui wamehamia wapi asee pamedorora kweli.
INAUZWA
Device- XIAOMI MI redime note 4
Ram 3gb
Internal 32gb
Miui 9.5.3.
Fingerprint
Camera mbele 5 MP
Camera nyuma 15MP LED Flash
Global version ina Google play
Battery capacity 4100mah
Bei 300k
Location DarView attachment 920347View attachment 920348View attachment 920349View attachment 920350
Njoo nikuuzie tecno l9Kuna 150k inataka simu jmn
Iphone 7+ 128gb comes with all accessories good as new
Price: 1.30m fixed
0623953036View attachment 915928
Labda upate ya kichinaChapu kwa halaka laki 8.5 tumalize bzness
Nikiwa na 200 nikutafute!?
Ipo moja hapa dar mpya kabisa 330 kuna mtu anashida na ela ya harakaView attachment 917889View attachment 917890