Hahahah dah jamaa nimecheka sana boss ni kweli asee mpaka unamaliza install whatsapp kuna matoleo kama 10 hivi yamefyatuliwa.mzee tecno kila saa kuna toleo jipya, wateja wa tecno ndo wanaongoza kwa route pale Aggrey na likoma, Umetoka kununua Tecno K 9, upo kwenye daladala kiwandani washatoa K 9 Spark, unatia miguu home washatoa K 9 Spark Plus, huja anza hata kuinstall whatsapp Washatoa K 9 Spark Plus Air