Wauza smartphone tukutane hapa

Wauza smartphone tukutane hapa

mzee tecno kila saa kuna toleo jipya, wateja wa tecno ndo wanaongoza kwa route pale Aggrey na likoma, Umetoka kununua Tecno K 9, upo kwenye daladala kiwandani washatoa K 9 Spark, unatia miguu home washatoa K 9 Spark Plus, huja anza hata kuinstall whatsapp Washatoa K 9 Spark Plus Air
Hahahah dah jamaa nimecheka sana boss ni kweli asee mpaka unamaliza install whatsapp kuna matoleo kama 10 hivi yamefyatuliwa.
 
mzee tecno kila saa kuna toleo jipya, wateja wa tecno ndo wanaongoza kwa route pale Aggrey na likoma, Umetoka kununua Tecno K 9, upo kwenye daladala kiwandani washatoa K 9 Spark, unatia miguu home washatoa K 9 Spark Plus, huja anza hata kuinstall whatsapp Washatoa K 9 Spark Plus Air
hahaaaa,mkuu wewee, eti kila saa ,i can imagine baada ya siku 2 tu kuna matoleo mapya kibao 😀😀
 
mzee tecno kila saa kuna toleo jipya, wateja wa tecno ndo wanaongoza kwa route pale Aggrey na likoma, Umetoka kununua Tecno K 9, upo kwenye daladala kiwandani washatoa K 9 Spark, unatia miguu home washatoa K 9 Spark Plus, huja anza hata kuinstall whatsapp Washatoa K 9 Spark Plus Air
[emoji23][emoji23]
 
mzee tecno kila saa kuna toleo jipya, wateja wa tecno ndo wanaongoza kwa route pale Aggrey na likoma, Umetoka kununua Tecno K 9, upo kwenye daladala huko kiwandani washatoa K 9 Spark, unatia miguu home washatoa K 9 Spark Plus, huja anza hata kuinstall whatsapp Washatoa K 9 Spark Plus Air
Daahhhhhh tecno ni kansa
 
Mwenye duka au bei ya Tecno spark k7ni ngapi kwa sasa mpya na risiti yake.
 
mzee tecno kila saa kuna toleo jipya, wateja wa tecno ndo wanaongoza kwa route pale Aggrey na likoma, Umetoka kununua Tecno K 9, upo kwenye daladala huko kiwandani washatoa K 9 Spark, unatia miguu home washatoa K 9 Spark Plus, huja anza hata kuinstall whatsapp Washatoa K 9 Spark Plus Air
Mkuu na likoma Tecno spark k7 inasimama ngapi mkuu acha haya maduka ya nje nje kama kuna chimbo unalifahamu wanapondaga kuchukua wale machinga au ma winger.Ahsanteh
 
Pata original smartphones

Samsung note 8
Brand new
64gb
Price1,300,000 TZS

Samsung s8 plus
Brand new
64gb
Price:-1,050,000 TZS

IPhone 6
Brand new
16gb
Price:-500,000 TZS
64gb
Price:-580,000 TZS

Location:-dar es salaam , kkoo
Phone:-0714750433
 
Attachments

  • Photo 06-11-2018, 09 44 46 (4).jpg
    Photo 06-11-2018, 09 44 46 (4).jpg
    62.8 KB · Views: 46
  • Photo 26-10-2018, 16 50 35.jpg
    Photo 26-10-2018, 16 50 35.jpg
    58.2 KB · Views: 42
  • Photo 30-10-2018, 15 30 46.jpg
    Photo 30-10-2018, 15 30 46.jpg
    11.8 KB · Views: 43
Hallow wana JF, weka picha, mahali ulipo, contact zako na specifications za device yako.

Simu janja Motolora E4 iko sokoni kwa bei chee kabisa ya serious buyers (wanunuzi) wakweli drop your offer here DM/SMS/Call/WhatsApp 0715476787
IMG_20181108_195908_397.jpeg
Screenshot_20181108-194311~2.jpeg
 
Samsung note 8
Brand new
64gb
Price:-1,300,000 TZS
CALL:-0714750433
LOC:-DAR-KKOO
 
Attachments

  • Photo 06-11-2018, 09 44 46 (4).jpg
    Photo 06-11-2018, 09 44 46 (4).jpg
    62.8 KB · Views: 44
IPhone 6 plus
Brand new
64gb
Price:-700,000 TZS

CALL:-0714750433
LOC:-DAR-KKOO
 
Attachments

  • Photo 26-10-2018, 16 50 35.jpg
    Photo 26-10-2018, 16 50 35.jpg
    58.2 KB · Views: 46
Natafuta infinix hot 6x brand new..
Mwenye nayo dukani anipe bei
Location😀ar es salaam
 
INAUZWA
meizu mx4 pro
Ram 3gb
Storage 32
Camera 20mp led flash
Selfie 5mp
Fingerprint scaner

Bei 350000/-
images.jpeg
 
Pata original smartphones

Samsung note 8
Brand new
64gb
Price1,300,000 TZS

Samsung s8 plus
Brand new
64gb
Price:-1,050,000 TZS

IPhone 6
Brand new
16gb
Price:-500,000 TZS
64gb
Price:-580,000 TZS

Location:-dar es salaam , kkoo
Phone:-0714750433
Una duka mkuu au ni hizo tu?
Km una aina nyingne vip S7 edge au A7 2017??
 
Back
Top Bottom