alini alberto
Member
- Jun 6, 2015
- 69
- 28
Leta iyo 100,000 nikupe Galaxy s4(32gb)Kuna 100,000 na huawei y300 je ubanipa sim gani ya maana? Njoo PM tuongee
Ongeza 20000 nikuachie mtambo s4 (32gb)nina 80,000 nataka smartphone yenye insta + whatsaap, nipo dodoma.
0769272259
Ongeza 10,000 nikupe Galaxy s4 (32gb) usednatafuta smartphone kwa 90,000
Kuna Galaxy s4(32gb) inahitaji 100 tu.Natafuta galaxy note 4 au galaxy s5 mwenye nayo ani pm..niko jijini dar
nn unauliza bei
Nnayo sibadilishani nataka 400 iko very clean.. used for 2 monthsMwenye s6 edge plus. Kuna raia. Ana j7 prime. Mkifanya exvhange vp aongeze ngap?
Weka picha mkuuNina samsung S7 edge bei maelewano
Call 0716772913
150k nahitaji tecno j8
Bos unapatkana wapi na hii jambo ni kweli ?Camon 11
32GB, 3GB RAM
Nakupa mpya kabisa ikiwa kwenye sealed box.
Bei 360,000
Rangi ipo black, red na blue.
Whatsapp: 0654 910 120
Napatikana DSM View attachment 952261
Napatikana Kariakoo Dsm boss. Hii kitu ni kweli wala sitaniiBos unapatkana wapi na hii jambo ni kweli ?
Okay subir tuuze BossNnayo sibadilishani nataka 400 iko very clean.. used for 2 months