Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kapicha kidogo mkuuNOKIA 6500s-1 slide kwa 40k only, imesimama ukiiona huchomoi,
ina internet 3G
operamin 8
youtube
fb na twitter
camera na music sound nzur
Ndio nimeandikia hii comment hapa jf,
nimeshndwa ku upload picture humu
bei haipungui
Offer offer cm aina ya s6 color gold imetumika 4month cm iko vzry haina tatizo lolote lile bei laki 3 na 30 s7edge ina creak kidogo kwa laki 4 na nusu location ilala 32gb
Unatoa na ngpM ninayo Iphone 5s nimeitumia mwez mmoja nataka tufanye excharng
K7 spark ni 220,000/= dukani ukitaka za mkononi mpaka 180,000/= ikiwa in good conditionMwenye duka au bei ya Tecno spark k7ni ngapi kwa sasa mpya na risiti yake.
Picha mkuu!NOKIA 6500s-1 slide kwa 40k only, imesimama ukiiona huchomoi,
ina internet 3G
operamin 8
youtube
fb na twitter
camera na music sound nzur
Ndio nimeandikia hii comment hapa jf,
nimeshndwa ku upload picture humu
bei haipungui
nabado mbona izi angalau cheap kidogo ....nyingi za mkononi jaribu za madukani utahisi umeweka fixed deposit accHizi bei ni za simu tu au unapewa na kiwanja japo cha 20*20??
Na mimi nahitaji kama mtu anayo Xiaomi redmi 4a anipe bei!Ningependa kujua kama kuna mtu ana hizi simu hapa anipe na bei..
-- XIAOMI MI 8 AU 8 PRO.
-- POCOFONE F1.
Hizi simu rahisi aliexpress ila hazipo kwa sasa labda umpate mtu anaeenda chini au india umuagize lasivyo bei ya bongo ni mkasi huiwezi mkuu.Na mimi nahitaji kama mtu anayo Xiaomi redmi 4a anipe bei!
Kwa bongo ni mkasi kaagize aliexpress jamaa huyu humu anafanya kazi hiyo msauziy wengi kawaletea yeye bongo hizi simu.Ningependa kujua kama kuna mtu ana hizi simu hapa anipe na bei..
-- XIAOMI MI 8 AU 8 PRO.
-- POCOFONE F1.
Nataka S8 au Note 8 samsung used bajet yangu 600,000 hazidi
Ipo badoSony experia c4, ipo clean haina tatizo lolote. Tsh. 170,000, Nipo Dar.
Whatsapp 0622544644
Exchange inaruhusiwa na Samsung S6 edge au Huawei
View attachment 952252View attachment 952253