Amos Jr
Member
- Jan 5, 2017
- 49
- 24
Ninayo ila imekufa kioo na switch ya kuwashiaNatafuta blackberry Z30 mwenye anayo akuje PM
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ninayo ila imekufa kioo na switch ya kuwashiaNatafuta blackberry Z30 mwenye anayo akuje PM
Nitumie picha!Wakuu simu bado hipo Tecno CX imetumika mda wa miezi miwili Tu Kutokana na matatizo yangu simu nazamilia Kuhuza 100000 laki moja Tu Kama uko mbali unatumiwa
Uko wapi?Wakuu simu bado hipo Tecno CX imetumika mda wa miezi miwili Tu Kutokana na matatizo yangu simu nazamilia Kuhuza 100000 laki moja Tu Kama uko mbali unatumiwa
Tuma picha nione hiyo crack au nitumie whatsapp 0765 290 727Offer offer jamn hio s7edge inacreak kwa laki 4 tuu
Nicheki whatsapp kwa namba yangu IyoNitumie picha!
S7 edge inauzwa bei poa 450.000 location ilala ina creak kidogo
Haya nakutolea na matengenezomkuu apo matengenezo yake si chini ya laki 3 na ukienda kwa dealer wa Samsung jmall au mlimani city ni laki 5 + iyo lk 4.5 duhhhh
Hivyo ilivyo inatumika ndio mm naitumia hapa bila tatizomkuu apo matengenezo yake si chini ya laki 3 na ukienda kwa dealer wa Samsung jmall au mlimani city ni laki 5 + iyo lk 4.5 duhhhh
Simu kali inayopiga picha kali kama iphone ni simu gani
iphone 6s nauza kwa laki 6 tu
Una sh napiNataka tecno k7
Mi nauza iPhone 5s 150k ina crake kidg kwenye screen ila touch yake iko poa tu
Niliachiwa na boss wangu akati anaenda zake kwao china asa kuitumia siijulii sana