shakwenya
Senior Member
- Mar 5, 2017
- 177
- 303
Mkuu nina s6 edge njoo tufanye biashara 0752620208Mwenye s6 edge plus. Kuna raia. Ana j7 prime. Mkifanya exvhange vp aongeze ngap?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu nina s6 edge njoo tufanye biashara 0752620208Mwenye s6 edge plus. Kuna raia. Ana j7 prime. Mkifanya exvhange vp aongeze ngap?
Nitumie picha ya zoteOffer offer cm aina ya s6 color gold imetumika 4month cm iko vzry haina tatizo lolote lile bei laki 3 na 30 s7edge ina creak kidogo kwa laki 4 na nusu location ilala 32gb
Kuna utofauti lakini, sio wanatoa toa tumzee tecno kila saa kuna toleo jipya, wateja wa tecno ndo wanaongoza kwa route pale Aggrey na likoma, Umetoka kununua Tecno K 9, upo kwenye daladala huko kiwandani washatoa K 9 Spark, unatia miguu home washatoa K 9 Spark Plus, huja anza hata kuinstall whatsapp Washatoa K 9 Spark Plus Air
Daaah mwnang mi nina 250 vipi unaweza niachia s6? 0629795064Offer offer cm aina ya s6 color gold imetumika 4month cm iko vzry haina tatizo lolote lile bei laki 3 na 30 s7edge ina creak kidogo kwa laki 4 na nusu location ilala 32gb
Naomba nicheki 0629795064 tufanye biashara now af muwe mnaweka hata mawasiliano bhnNina iphone 5 bei laki na sabini maongezi yapo simu og na charger og mwenye uhitaj aje pm faster humu nashindwa tuma picha
Daaah mwnang mi nina 250 vipi unaweza niachia s6? 0629795064
Nauza tecno Cx laki moja Tu nina shida miezi miwili Tu Aina tatizo lolote Anayehitaji nicheki 0743177237
Uko wapiNauza tecno Cx laki moja Tu nina shida miezi miwili Tu Aina tatizo lolote Anayehitaji nicheki 0743177237
Mi nauza iPhone 5s 150k ina crake kidg kwenye screen ila touch yake iko poa tu
Niliachiwa na boss wangu akati anaenda zake kwao china asa kuitumia siijulii sana
Kuna Galaxy s4(32gb) inahitaji 100 tu.
0629795064