Wauza smartphone tukutane hapa

S7 edge kwa laki 380 tuu inacreak inatumika bila tatizo lolote offer offer ya weekend hio location ilala
 
used for how long labda?
N used ndio ila sema zipo katika hali gani?
Ni used kutoka wapi? Hapa hapa bongo au nchi gani?
Zimeshaflashiwa kutumika bongo?
Ndio umesema ni used hvyo reset waweza utoe au usitoe, hatuta kulaumu sana kama hutoi japo kuna wanao uza used na reset wanatoa,
sasa
Unatuhakikishiaje security wateja? Hasa kama hutoi reset wala warrant?
Hazitazingua?
Sio za mbio tukaja kudakwa na wazee wa kaki?
Zinasoma network vzr?
Upo wapi?
Mawasiliano yapo wapi?
Picha zipo wapi?
Unauzia dukani au getto?

Hembu kama upo serious basi ifanye kazi yako iwe serious, naomb kama hutojali ujib hayo maswali mkuu, usije ukasema tuje PM watu wataanza kutilia mashaka na wengne wanaogopa kugeuzwa supu ya chrismas,

Nasema hayo kwa kua nipo interested na mojawapo hapo hvyo lazma nijiridhshe kwanza.

Heshima kwako.
 
HP pro book 4331
Haina tatizo lolote na bado mpya sana.
Ram 8gb
Hard disk 500gb
Core i3
Battery 3hrs
Ipo dar es salaam
Tsh280000
Piga/sms/whatsapp 0689095488


Marryxmass & happy New year
 
INAUZWA
Meizu mx4 pro
Display 5'5 | fingerprint scaner
Storege 16 | ram 3gb
Camera 20.7Mp with
Selfie 5Mp l Betri 3350mah
glass protector + Back cover
Una touch na groves(grove mode)

Location | ubungo

Bei 250000/=
 
250k cash ipo mkononi hapa
 
Nahtaji s7 edge mpya kwa bei ya sikukuu ipo 500k leo fasta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…