Wauza smartphone tukutane hapa

Wauza smartphone tukutane hapa

S7 edge kwa laki 380 tuu inacreak inatumika bila tatizo lolote offer offer ya weekend hio location ilala
 
Used Mobile Phones

1.Samsung Note5...Tsh430,000
2.Samsung S6 Edge ....Tsh430,000
3.Samsung S8+.....Tsh640,000
4.Samsung J7....Tsh320,000
5.Nokia 5.1.....Tsh400,000(New)
6.Samsung J7 Neo....Tsh390,000
7.Samsung Note8...Tsh800,000
8.Infinix Hot6....Tsh265,000
9.Oppo F5....Tsh350,000
10.Samsung S8....Tsh550,000
used for how long labda?
N used ndio ila sema zipo katika hali gani?
Ni used kutoka wapi? Hapa hapa bongo au nchi gani?
Zimeshaflashiwa kutumika bongo?
Ndio umesema ni used hvyo reset waweza utoe au usitoe, hatuta kulaumu sana kama hutoi japo kuna wanao uza used na reset wanatoa,
sasa
Unatuhakikishiaje security wateja? Hasa kama hutoi reset wala warrant?
Hazitazingua?
Sio za mbio tukaja kudakwa na wazee wa kaki?
Zinasoma network vzr?
Upo wapi?
Mawasiliano yapo wapi?
Picha zipo wapi?
Unauzia dukani au getto?

Hembu kama upo serious basi ifanye kazi yako iwe serious, naomb kama hutojali ujib hayo maswali mkuu, usije ukasema tuje PM watu wataanza kutilia mashaka na wengne wanaogopa kugeuzwa supu ya chrismas,

Nasema hayo kwa kua nipo interested na mojawapo hapo hvyo lazma nijiridhshe kwanza.

Heshima kwako.
 
HP pro book 4331
Haina tatizo lolote na bado mpya sana.
Ram 8gb
Hard disk 500gb
Core i3
Battery 3hrs
Ipo dar es salaam
Tsh280000
Piga/sms/whatsapp 0689095488


Marryxmass & happy New year
IMG-20181223-WA0012.jpeg
IMG-20181223-WA0010.jpeg
IMG-20181223-WA0006.jpeg
IMG_20181222_204331.jpeg
IMG_20181222_204346.jpeg
IMG_20181222_204054.jpeg
 
INAUZWA
Meizu mx4 pro
Display 5'5 | fingerprint scaner
Storege 16 | ram 3gb
Camera 20.7Mp with
Selfie 5Mp l Betri 3350mah
glass protector + Back cover
Una touch na groves(grove mode)

Location | ubungo

Bei 250000/=
IMG_20181224_061153.jpeg
IMG_20181224_060854-1.jpeg
IMG_20181224_060833.jpeg
IMG_20181224_060918.jpeg
IMG_20181224_060955.jpeg
IMG_20181224_060826.jpeg
 
Xiaomi Mi max, kwa laki 4, 128 gb, ram 4gb, betri 4850 mAh, internet 4g, back cam 16 mp, font cam 5 mp, display inch 6.44, inakaa na charge sana kwa wanaozijua xiaomi wanafahamu, bei laki 4, niko dar, simu 0714495367, 0768859089, 0692940091, niko dar, ukonga bananaView attachment 975024View attachment 975026View attachment 975030View attachment 975032View attachment 975033View attachment 975034View attachment 975035View attachment 975036View attachment 975037
250k cash ipo mkononi hapa
 
Nahtaji s7 edge mpya kwa bei ya sikukuu ipo 500k leo fasta
 
Back
Top Bottom