Wauza smartphone tukutane hapa

Nahitaji 3D screen protector ya s7 edge na back cover now, nipo mbali na mjini usiseme nenda mjini, ukiwa nayo nitajua naipataje
 
Uzuri wako wewe mtoto wa town, huwezi kubambikiwa li-copy
Nilipata boss japo kwa bei ya juu kdg,
mimi atakayeniuzia simu fake haki huyo baada ya kum mind nitampongeza, siachag hata chembe ya ukakasi,
baadae nitaelezea n kivp watoa simu fake wameboresha na ukiwa umezoea njia za kawaida za kujua simu fake imekula kwako, mwenyewe juz ndio niliamin mchina ni nyoko, wale washkaji waliotaka kuniuzia hawakuamin kama ningegundua hcho kitu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…