THOMASS SANKARA
JF-Expert Member
- Nov 13, 2014
- 2,055
- 4,695
Mkuu tunangoja hilo darasa la kujua simu fambaNilipata boss japo kwa bei ya juu kdg,
mimi atakayeniuzia simu fake haki huyo baada ya kum mind nitampongeza, siachag hata chembe ya ukakasi,
baadae nitaelezea n kivp watoa simu fake wameboresha na ukiwa umezoea njia za kawaida za kujua simu fake imekula kwako, mwenyewe juz ndio niliamin mchina ni nyoko, wale washkaji waliotaka kuniuzia hawakuamin kama ningegundua hcho kitu.
Sent using Jamii Forums mobile app