Uzazi wa Mpango
JF-Expert Member
- Apr 4, 2012
- 1,382
- 1,232
Inaendaje hiiSamsung J3 (2016)
16gb
Ram2
LTE (4g)
Gold in colour
# 0757007398
Location kimaraView attachment 983972View attachment 983973
Sent using Jamii Forums mobile app
Inaendaje hiiJ7 prime
Bei ni 300k
Location tabata Segerea
Nicheck 0763976109View attachment 984001View attachment 984002
Sent using Jamii Forums mobile app
Ina shda gani
12O
nashukuru mkuu ila naziogopa sana mtk ndoo maaana kwa kiwango changu nikaamua tafuta used ambayo iko vizuri kuliko kipya ambacho sikifurahiiUkiagiza aliexpress unapata s2 redmi au remi 6 ila hii ina Chipset ya MTK Mtumie huyu mkuu anaitwa Mwl Rct au msauziy
Samsung J2
In mint condition
Bei 180k
View attachment 982180View attachment 982181
Sent using Jamii Forums mobile app
Galaxy note 4 32GB nataka 260k cash
Huku Tecno J8 nataka laki 1 tu.
Location Tabata segerea... nicheck 0763976109
Sent from my SM-G935F using Tapatalk
Zenye matatzo na makovu sikuwa nazo na zote zishauzwa. Kama unataka zenye makovu nitakutafutia Boss.Hiyo tecno j8 hainabtatizo lolote?haina makovu ya uchakavu?
Kama ni ya wizi ni kwamba baadae utakamatwa ulipe pesa ya usumbufu na simu juu yake. Kwahyo sio mbaya sana.Huu uuzaji wa smartphone used usalama wake ikoje?!?? Je kama ni ya wizi?!??
AiseeeeeKama ni ya wizi ni kwamba baadae utakamatwa ulipe pesa ya usumbufu na simu juu yake. Kwahyo sio mbaya sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
J7 prime unachukua?HUAWEI P10 PLUS ipo na some scratches especially on edges, but inawork perfect.
128GB storage 6GB ram double line, Duo cameras nyuma 20mp kwa 12mp while mbele 8mp (simply picha ni kali on both cameras)
njoo na offer yako Exchange pia napokea...
NOTE:
Usinijie na tecno, itel au lumiaView attachment 984452View attachment 984453View attachment 984454View attachment 984455View attachment 984456View attachment 984457View attachment 984458
Sent using Jamii Forums mobile app