Wauza smartphone tukutane hapa

Wauza smartphone tukutane hapa

NAUZA ACTIVATION SIM KWA AJILI YA KUUNLOCK SIMU ZA APPLE ZILIZOFUNGWA KWA NETWORK ZA NJE NA ZINAFUNGUA HAD IOS 12 latest ios kama unahitaji nicheki PM
 
Wazee wa old, 50K
20190103_082010.jpeg
20190103_081958.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
S7 edge

Mwenye A9 6 pro aje tuvunjee, kama ina mikwaruzo/imechoka hapanaa, ya kwangu ukiona hata kidoti unaacha, n mpya ya ter 28, kwaio ni almost week, sbb n kwamba sikufurahia haya ma edge na ninataka large displya, utakua na mda wa kuichunguza na ukiiona hata na kijitatzo/shida kidogo unaacha
NOTE: simu yako iwe salama sio ya wizi ikiwezekana tuandikishiane kwa rekod kwa matumizi ya baadae ikihtjka View attachment 985503View attachment 985505
IMG_20190101_191403.jpeg
View attachment 985504View attachment 985506

Sent using Jamii Forums mobile app
 
S7 edge

Mwenye A9 6 pro aje tuvunjee, kama ina mikwaruzo/imechoka hapanaa, ya kwangu ukiona hata kidoti unaacha, n mpya ya ter 28, kwaio ni almost week, sbb n kwamba sikupenda haya ma edge,
NOTE: simu yako iwe salama sio ya wizi ikiwezekana tuandikishiane kwa rekod kwa matumizi ya baadae ikihtjka View attachment 985503View attachment 985505View attachment 985507View attachment 985504View attachment 985506

Sent using Jamii Forums mobile app
Hukupenda why ulinunua???[emoji849][emoji849][emoji849]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom