Wauza smartphone tukutane hapa

Wauza smartphone tukutane hapa

Galaxy S2 inauzwa at good condition..
Location Dar es salaam
Please contact 0653811003
Price 220,000/= negotiable at 5% discount..
Free delivery in any place within Dar.

The faster you pay, the faster you get the commodity..

170k.. tumalize
 
Wakuu embu tupieni namba niwaadi watsap kwenye group
NB: uwe mfanya biashara wa sim na electronics device zote
 
dukani laki 8 na kila kitu chake its a good phone katika galaxy A series

Mi ninayo A5 inetumika miez 2 ni full box, nyeus doubl line nauza lak 4 tu, nipo dar 0714495367
 
Kama unahitaji Original Samsung galaxy S5 imetumika kidogo ila ipo poa nicheki kwa 0784 551606 bei 500,000.
 
Haya sasa mwenye shida na Huawei p7.
No scratches
Imetumika kwa wiki tatu mpaka leo.
Ipo na kila kitu chake.
Kama we mjanja unataka simu ya kijanja, basi hii ni kwa ajili yako.
Bei ni ....650,000/=
Kama unahitaji mainfo zaidi..
Pita huku
0716403314...
Uwezo wangu ni kuifikisha mpaka dar es salaaam..
Mie nipo zanzibar
Narudia simu ni orignal..ili ulipe gharama zake ni lazima uione kwanza.
Karibuni
 

Attachments

  • 1444465984153.jpg
    1444465984153.jpg
    30.5 KB · Views: 228
  • 1444466004707.jpg
    1444466004707.jpg
    52.2 KB · Views: 216
Nataka HUAWEI MATE 7, ile yenye 32GB internal memory na 3GB RAM.. kama ipo nicheki kupitia 0654209804
 
kuna huawei y300 ipo poa haina tatizo lolote naiuza 90,000, namba yangu 0757227796
 
Back
Top Bottom