Wauza smartphone tukutane hapa

Wauza smartphone tukutane hapa

1f332.png
1f320.png
*BIG Offer*
1f332.png
1f320.png

32GB FLASH DISK ONLY FOR TSh. 20,000

Pata Flash disk yenye uwezo wa kusoma kwenye Laptop, TV, Radio etc kwa bei nafuu ya 20,000 kwa uwezo wa 32GB

Brand: DM PD076

Location : Mkuki House, Gerezani - Kariakoo


Bei:

32GB - 20,000

Call/Text/WhatsApp
1f4de.png
1f4f2.png
2709.png
0742968517


Follow us on Facebook and Instagram : @dmlifestore

View attachment 1004133View attachment 1004134
15k

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Infinix Hot 5 inauzwa
Location Iringa
Ina Gb 16 RAM 1 gb
Camera 12mgpx
Battery 4000mhA inakaa na chaji 24 hrs
Android 7.0
Haina tatizo lolote nimetumia for 3 months
Bei ni 190k
Nicheki 0745410294
Iringa mbali Mkuu.
 
Wale wapenda kitonga kuna huu mzigo hapa very clean, kwa Maana bei na specs halali mmegoma basi

Nauza iphone 7s plus tsh 250,000 tu.

specs:
Haiwaki,
haina motherboard,
haina housing,
haina kioo,
inakaa na charge kwa mda wote itakaokua kwenye umeme ukiichomoa tu inazima ili kutunza charge hivyo kuendana na kasi ya rais ya kubana matumizi,
Ina nyimbo za ccm mbele kwa mbele na mtaisoma namba,
ina picha ya rais wetu mtukufu, polepole, bomberdia na panga boy,
inaingia battery tatu za National Panasonic

PM Only 4 serious buyer, u can see how serious i am.

UJUMBE WA LEO,
ndio kwanza ter 12 january.
Hahahahahahahha
 
Back
Top Bottom