Wauza smartphone tukutane hapa

mwenye hii blackberry classic aje tuvunje kwa NOKIA BANANA 8110 4G DUAL SIM FULL BOXED MPK RESET UKITAKA, ndio nimeandikia na ku upload hizi picsSiuzi maana nikitaja bei yake kuna watu watasema 'bora nikanunue tecno spark au camon'
 
Nauza Inifinix smart 2,
Imetumika mwezi mmoja,
Shilingi 170,000/-
Nipo njombe kipengere,
Camera 13 mpya kwa 8 mpya
Ram 1gb
Android version 8.1
Internal storage 16gb
Updates system x5xx555
0762348353

Sent using Jamii Forums mobile app
 
πŸ†•πŸ†•πŸ†•πŸ†•πŸ†•πŸ†•πŸ†•πŸ†•πŸ†•
Pata Flash disk bora yenye uwezo wa kusoma kwenye Laptop, TV, Radio etc na kutunza mafile ya aina zote(video, audio, documents, softwares, games) kwa bei nafuu. Pia ni waterproof,mini and portable, ina key ring design

Brand Name: DM
Product Name: PD086

Bei: 32GB - 20,000

Call/Text/WhatsApp 0742968517

Location : Near Mkuki House, Gerezani - Kariakoo
https://wa.me/+255742968517
Follow us on Instagramn and Facebook : DM LIFE STORE


 
Olympus PEN E-P3

Kinachoonekana hapo ni,
1-Camera yenyewe
2-Charger ya battery
3-Data cable na
4-Kifuniko cha lens.

Bei ni 450k

NB: Najua huu ni uzi wa smartphones. I hope
you won't mind.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…