Hakunaga Africa model
Hakuna duniani kinachotengenezwa kulenga soko la Afrika
japo kupa ni dhambi ila kwa uelewa huu haki ya mungu siwezi hata kujisumbua kukuelewesha zaid ya kukushangaa imekuaje usiquote comment nzima uka kuote maneno mawili tena ya ziada maana niliandika international model, F/DS sasa Kuelewesha watu nika specify africa,
jaman WANAJUKWAA NASIMAMA KUKOSOLEWA, ETI HAKUNA ELECTRONICS SPECIFICALY SIMU ZINAZOTENGENEZWA MAALUM KULENGA SOKO/MATUMIZI KWA AFRICA?
Nnayo j1 ace ila ina creck kwenye kioo..ipo Mwanza
Zipo sana hata box nyingine za simu zimeaandikwa kabisa For Africa and Europe. For Middle East, mara nyingi zinatofautisha hizi bidhaa hasa simu ni Band.japo kupa ni dhambi ila kwa uelewa huu haki ya mungu siwezi hata kujisumbua kukuelewesha zaid ya kukushangaa imekuaje usiquote comment nzima uka kuote maneno mawili tena ya ziada maana niliandika international model, F/DS sasa Kuelewesha watu nika specify africa,
jaman WANAJUKWAA NASIMAMA KUKOSOLEWA, ETI HAKUNA ELECTRONICS SPECIFICALY SIMU ZINAZOTENGENEZWA MAALUM KULENGA SOKO/MATUMIZI KWA AFRICA?
Yapo sana,nenda ulaya utafute simu za Tecno uone ka utapatajapo kupa ni dhambi ila kwa uelewa huu haki ya mungu siwezi hata kujisumbua kukuelewesha zaid ya kukushangaa imekuaje usiquote comment nzima uka kuote maneno mawili tena ya ziada maana niliandika international model, F/DS sasa Kuelewesha watu nika specify africa,
jaman WANAJUKWAA NASIMAMA KUKOSOLEWA, ETI HAKUNA ELECTRONICS SPECIFICALY SIMU ZINAZOTENGENEZWA MAALUM KULENGA SOKO/MATUMIZI KWA AFRICA?
yaani huyu jamaa mpk nimemshangaa, halaf anajiamin kbsa, ndio hawa wanaouziwa ma t-mobile, verizon n.k au unlocked akiweka lain hayasomi network au yasome kwa shidaZipo sana hata box nyingine za simu zimeaandikwa kabisa For Africa and Europe. For Middle East, mara nyingi zinatofautisha hizi bidhaa hasa simu ni Band.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli aiseeyaani huyu jamaa mpk nimemshangaa, halaf anajiamin kbsa, ndio hawa wanaouziwa ma t-mobile, verizon n.k au unlocked akiweka lain hayasomi network au yasome kwa shida
Nan alikwambia tecno hazipo ulaya, wakat tecno ndio mdhamin wa timu ya man city kwa sasa na baadhi ya wachezaji kama aguero na de bruyne wanatumia [emoji849]
mi mwenyewe nahitaji q20/classicNAHITAJI BLACKBERRY Q10 AU Q20
dah nazielewa kinomami mwenyewe nahitaji q20/classic
kwa 200000 tuelewane pmSamsung note 10.1
Used
32GB
Any sim card
White
Battery Lasts Long- Upto 2days+
In Excellent condition
HD movie and video display
High Quality video output
Ina crack kidogo
Price 225000
Npo dsm
Sawa mkuukwa 200000 tuelewane pm