makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 31,583
- 92,670
Tafuta kitekno c5 mie nilikuwa nakitumia kwa kazi hyo kana 4g hako utakapata kwa bei chee nilitumia mpaka ilipokufa kioo.Nahitaji smartphone ya bei ndogo sana kwa ajili ya kuungia tu hotspot kwenye laptop. Kama una smart yoyote inayofiti kwenye hiyo criteria njoo PM au nicheck 0673247812. Pesa ipo mfuko wa shati.
Sent using Jamii Forums mobile app