Wauza smartphone tukutane hapa

Nahitaji smartphone ya bei ndogo sana kwa ajili ya kuungia tu hotspot kwenye laptop. Kama una smart yoyote inayofiti kwenye hiyo criteria njoo PM au nicheck 0673247812. Pesa ipo mfuko wa shati.
Tafuta kitekno c5 mie nilikuwa nakitumia kwa kazi hyo kana 4g hako utakapata kwa bei chee nilitumia mpaka ilipokufa kioo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
S4 ya zamani hiyo unauzaje laki2?peleka kijjn kwen!
Sent using Jamii Forums mobile app
 
imu bado ipo inahitaji mnunuzi ina crak kidodo
Ila kila kitu kinafanya kazi
Finga print, 16gb
Mnunuzi uwe seriously sitaki mataperi maana kuna wapuuzi wanakuja kumbe ni wezi jana wametaka kuniibia. Sasa mnaokuja kwa gear ya mimi askari kumbe wezi,muwe makini na tangazo langu
0764870930

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuongeaongea sana ndo unawaongezea mbinu. Sema simu ni model gani watu wajue wanafanyaje.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…