Wauza smartphone tukutane hapa

S6 + imetoka mwaka gani vilee?? Samsung galaxy s4 je nayo ni ya kizamani?? Japo unaweza kuwa sahihi . ngoja nipige pic s6 ya jirani then uone kama inaandika android kwenye boot animation yake.


Hiyo sio boot animation mkuu, hiyo ni kernel logo kisha ndio inafuata boot animation :A S shade:
 
Nahitaji simu iwe huawei arcend y300 bajeti yangu ni 70 elfu iwe mkoa wa mwanza,ama aina nyingine itakayonivutia
 
Nna tecno c5 imetumika mwezi mmoja.....nataka 200,000......picha zinanigomea ku-upload kama uko interested nichek WhatsApp 0684366488 nikutumie picha...
 
Mwenye nokia e63,e71,e72,c3nokia navigator aniuzie moja wapo.iwe in good condition.ofa yangu ef50
 
Nauza samsung galaxy Note 2 bei ni 290000 tu km uko Arusha nichek kwa 0659632840
 
wakuu nna samsung note 4 bt imevunjika display so kama kuna m2 2naweza badilishana na cm yoyote na anipe ela kdg ?
 
Baadhi ya watu humu mnaomba muwekwe kwa group la whatsapp la kuuza na kununua simu, mnawekwa hapo hapo mnaomba mtolewe, ndio nini sasa :A S angry:

Ni add 0687561298
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…