Baba Rayhaan
JF-Expert Member
- Mar 24, 2011
- 634
- 436
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
S6 + imetoka mwaka gani vilee?? Samsung galaxy s4 je nayo ni ya kizamani?? Japo unaweza kuwa sahihi . ngoja nipige pic s6 ya jirani then uone kama inaandika android kwenye boot animation yake.
Naomba kwa hyohyo 40 njoo pm
chukua 80 fasta 0657445777Nauza huawei y530 bado iko kwenye hali nzuri imetumika miezi minne tu. Bei 120000 simu 0757321084.
HTC z710
Android 4.0.3 140,000 tu
Samsung s4 original ipo kwenye hali nzuri njoo uchukue kwa 320000
Baadhi ya watu humu mnaomba muwekwe kwa group la whatsapp la kuuza na kununua simu, mnawekwa hapo hapo mnaomba mtolewe, ndio nini sasa :A S angry:
inatakiwa uweke namba ya simu na picha,je ntajuaje rangi ya hiyo kitu?maana naihitajiIphone 5 good condition laki 5 tu