Wauza smartphone tukutane hapa

nina htc mpya utspata kila kitu chake
size 5.5 inch
ram 1gb
front an back camera
betre 3100mAh

bei 250k warranty 1 yr
 
mwenye simu yoyote ya symbian s60v3 iwe ni nokia e series au n series au c series katika hali nzuri na iwe na kioo potrait na sio landscape mfano huu.

 
Nina tecno y3 na huawei 330 zote mpya nauza bei poa 0714702720
 
Nina tecno y3 na huawei 330 zote mpya niko dar nichek 0714702720
 
Nokia lumia 710 windows phone....kama upo mwanza na unahitaji nichek...bei maelewano..ipo katika hali nzuri sana sababu haikuwa inatumika kwa muda mrefu......betri yake ilipotea nimeshindwa kupata betri sahihi hivyo mfuniko haufungi nimeutoa ila upo
 

Attachments

  • 1446118862797.jpg
    38.2 KB · Views: 152
  • 1446118973377.jpg
    27.7 KB · Views: 144
  • 1446118999325.jpg
    27.5 KB · Views: 140
  • 1446119029587.jpg
    24.5 KB · Views: 138
Mwenye Lumia 920 anipigie kwa # 0784080304 au anitext msg..
 
Nnauza nokia torch,40,000/= original.dukani unaipata kwa 75,000/=
0676325835.haijatumika mda mrefu(3 months)

Mkuu nokia torch sasa hivi ni 75000 dukani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…