Wauza smartphone tukutane hapa

Wauza smartphone tukutane hapa

nina htc mpya utspata kila kitu chake
size 5.5 inch
ram 1gb
front an back camera
betre 3100mAh

bei 250k warranty 1 yr
 
mwenye simu yoyote ya symbian s60v3 iwe ni nokia e series au n series au c series katika hali nzuri na iwe na kioo potrait na sio landscape mfano huu.

nokia-c5-00-5mp1.jpg
 
Nina tecno y3 na huawei 330 zote mpya nauza bei poa 0714702720
 
Nina tecno y3 na huawei 330 zote mpya niko dar nichek 0714702720
 
Nokia lumia 710 windows phone....kama upo mwanza na unahitaji nichek...bei maelewano..ipo katika hali nzuri sana sababu haikuwa inatumika kwa muda mrefu......betri yake ilipotea nimeshindwa kupata betri sahihi hivyo mfuniko haufungi nimeutoa ila upo
 

Attachments

  • 1446118862797.jpg
    1446118862797.jpg
    38.2 KB · Views: 152
  • 1446118973377.jpg
    1446118973377.jpg
    27.7 KB · Views: 144
  • 1446118999325.jpg
    1446118999325.jpg
    27.5 KB · Views: 140
  • 1446119029587.jpg
    1446119029587.jpg
    24.5 KB · Views: 138
Mwenye Lumia 920 anipigie kwa # 0784080304 au anitext msg..
 
Back
Top Bottom