Wauza smartphone tukutane hapa

Wauza smartphone tukutane hapa

Nokia x android phone org..
inafanya kazi vizuri haina shida yoyote na w haijawahi kufunguliwa ni kama mpya
bei 130,000
mawasiliano 0655 477748
 
Wakuu mi ninauza Nokia Lumia 630. Ina kila kitu chake...na bd ina warrant. Bei ni 180K. Dhumuni la kuiuza ni kwa kuwa nimepata simu nyingine. Kwa mawasiliano nicheki 0689 309 344.
 
S3 mpya original...nina na risti yake..ina protector ya glass charger na earphone
Bei 250000 haipungui niko mwanza
0719397568
 
Huawei y 300 naiuza laki moja ipo vizuri bei inaishia hapo mwenye kuitaka tuwasiliane kwa no. 0712702680 Nipo dar
 
H6 nzima kabsa inauzwa 120000 niko dar piga cm 0714702720
 
Natafuta note 2 mbili na Grand prime 1 ziwe mpya Kwenye box ziwe na kila kitu chake.
Nicheki via 0715490570
 
Mwenye kuhitaji samsung galaxy s4 ikiwa mpya anicheki ila bei ni 450,000/- haipungui maana nina uhakika na nikuuziacho
Contact : 0716403314.
HAIPUNGUI.
no tatizo la aina yoyote hata mkwaruzo haina hata doa
 
Back
Top Bottom