Wauza smartphone tukutane hapa

Dah... Umenifumbua macho bro manake niliwahi kuwa na Note 4 ilikua inachemka sana mpk kuishika inakua ngumu hasa ikiwashwa data, niliuza na nilikua na mpango nitafute nyingine lkn itabidi niachane nazo tu
 
Huawei wifi Router
Inasupport 4g(LTE)
Ina memory card slot
inakubali tu line ya Tigo
unaweza ukaiflash ikubali mitandao yote
Bado mpya ilikua haitumiki sana
0682521021
bei elekezi 69,000
 
Dah... Umenifumbua macho bro manake niliwahi kuwa na Note 4 ilikua inachemka sana mpk kuishika inakua ngumu hasa ikiwashwa data, niliuza na nilikua na mpango nitafute nyingine lkn itabidi niachane nazo tu
Note 4 hazifai, nilikua nayo ilinisumbua kuanzia betri, kuchemka.

Mungu sio Abdala akatokea mjinga mmoja nikamshikisha [emoji1][emoji1]
 
Tecno K7 Only used 4 miezi
Storage 16 GB.
Ram 1 GB
0718987727/0757347907
Simu haina Cleak wala michubuko
BEI 150,000/= (Laki moja na nusu)
Location DSM
 
Offer Offer Offer

Samsung Galaxy A70 (Slightly used full box)
Color Black and White
Memory 128 gb

Ram 6 gb




Price 650,000/- Tsh

Contacts 0652332255

Location Ilala + A free delivery
 

Attachments

  • IMG_2894.JPG
    101.3 KB · Views: 4
Zipi hizo za kichina mkuu
 
Iphone 7 Plus 128gb
Gold & Black
Full Box
1,050,000
Warranty mwaka mmoja.

0654 910 120
Napatikana Dsm
 
Tecno spark 3 pro

Internal memory 32 GB
RAM 4 GB
Ina mwezi mmoja

Inauzwa 215,000/=
Inauzwa 215,000/=
Inauzwa 215,000/=
Haina tatizo lolote

Nicheck call/ whatsap 0658011278
Nipo dar
 
Tecno spark 3 pro

Internal memory 32 GB
RAM 4 GB
Ina mwezi mmoja

Inauzwa 215,000/=
Inauzwa 215,000/=
Inauzwa 215,000/=
Haina tatizo lolote

Nicheck call/ whatsap 0658011278
Nipo dar
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…