mizuno
Senior Member
- Mar 12, 2014
- 142
- 184
Dah... Umenifumbua macho bro manake niliwahi kuwa na Note 4 ilikua inachemka sana mpk kuishika inakua ngumu hasa ikiwashwa data, niliuza na nilikua na mpango nitafute nyingine lkn itabidi niachane nazo tuBetri ya hizo note 4 ni mtihani boss.
Kwanza kupata OG sio rahisi kabisaaaa
Utauziwa betri unaambiwa ni OG kwa 30K lakini inakaa na chaji masaa kadhaa imeisha bora ununue zile za kichina 15K.
Simu ya Note 4 kwa ujumla ni pasua kichwa.
I speak from experience