Anaye uza samsung gland prime... Naona ani pm... Tupeane mawasiliano...
HUAWEI Y550 ina mpasuko kidogo kwenye kioo.
Iko kwenye hali nzuri na battery yake ina uwezo mzuri mzuri sana.
Price 100,000Tsh tu. Karibu PM
mbona hiyo namba uloweka haipatikani??Lg G3 Super Copy, laki na 80 (Maelewano yapo)
0752953860, DSM
Lake 3
mbona hiyo namba uloweka haipatikani??
Nahitaji Lg g4 au samsung note 4
Mkuu kwa iyo bei unauza ama unataka nunua ....!?[emoji845] [emoji15]Note 2 TSh 200,000/-
Mkuu kwa iyo bei unauza ama unataka nunua ....!?[emoji845] [emoji15]
Nokia x2 inauzwa 200000/= ina mwezi tu nitafute 0672641896 ni windows phone
upo kama hueleweki vile mkuu.au ulikuwa huuzi hiyo simu?? kwan nikikucheki husomeki kabisaPiga inapatikana