Wauza smartphone tukutane hapa

Wauza smartphone tukutane hapa

Nipo DSM nahitaj kununua simu lakini iwe kwenye hali nzuri kiasi,nina kiasi cha sh laki na nusu ila naweza nikaongeza helka mpaka laki 2.... nitumie ujumbe kwa whatsap PEKEE (whatsapp only) kwa namba 0715289314
 
Samsung s4 in good condition.... Bei 380 simu ipo dsm.. Contact 0654766056
 

Attachments

  • 1448134398168.jpg
    1448134398168.jpg
    39.5 KB · Views: 287
  • 1448134408219.jpg
    1448134408219.jpg
    25.4 KB · Views: 280
Iphone 5s inahitajika kwa udi na uvumba, niko mwanza
 
Nauza Samsung Galaxy Tab 4 10.1. Ni nzuri sana, inafanya kazi vizuri. Bei 600k. Sms au whatsup 0719123216
 
Back
Top Bottom