Cosmasjulius
JF-Expert Member
- May 22, 2018
- 695
- 1,011
Mshkaji wangu aliuziwa simu ya wizi..Mwenye simu akatumia Imei number kutoka kwenye boks/reset akazipeleka police wakamtrack wakamdaka
Unaweza nisaidia namba ya jamaa ako nimchek maana na mimi niliibiwa mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Nishakusomaa mkuu..!![emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]sasa inabdi unipe namba ya huyo aliewatrack... Serious nisaidie mkuuMkuu Jamaa yangu hakupoteza simu ila aliuziwa simu ya wizi,
jamaa yako wa kike au wakiumeMkuu Jamaa yangu hakupoteza simu ila aliuziwa simu ya wizi,
Mbn vituo vikubwa vya polisi wanafanya mkuu..Nishakusomaa mkuu..!![emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]sasa inabdi unipe namba ya huyo aliewatrack... Serious nisaidie mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mm hata km ananipa na risit as long sio dukani
Lazima nimrekodi na tuandikishianee...
Sasa unadakwa Unajitetea na risit Halaf jina si lako utatokaje hapo boss?Mm nikiendaga kununua hizi mambo hizi risit zao za ki electronic nachukua ila nawaambia wanikatie na zile nyingne
Inaonesha jina lako..
Jina la bidhaaa....
Model yake....
Imei Number n.k
Na mwisho unatia na Sahihivyako kbsaa...
Hizi za ki eletronik
Wanaandika tu bei na simu
Hakuna jina la simu..
Hakuna jina la mnunuzi
Hakuna model ya simu
Hakuna imei number
Hakuna sahihi yako..
Si za kuamini sanaa
Zile zipo ki TRA zaidi na si usalama
Na hata muuzaji akiamua akugeuke km si mwaminifu ni rahisi
HUNA CHOCHOTE CHA KUSEMA HII BIDHAA NI YANGU....
NARUDIA TENA HUNAAA..
Ninazo kasoro risiti ya kununulia tu!!Imei unazooMbn vituo vikubwa vya polisi wanafanya mkuu..
Wataamini unatala ulize mtu tuu...
Vip nikichonga risiti mzee..!Bila reset hawawezi kukuelewa..Wataamini unatala ulize mtu tuu...
Wanasema kuna watu wengi wanatumia hio tick,
Kwaio sasa reset ndio kigezo kikubwaa.
Wakikushtukia Piga ua watajua wewe ni tapelj..
Mkuu nimekuPM nichekSamsung Galaxy Grand Prime bado mpya.
Ram 1GB, storage 8GB. network 4G
Haina tatizo imetumika mwezi tuu tena ikiwa ndani ya protector na cover.
Bei 150k fasta,earphone zipo
View attachment 1290772View attachment 1290773
Sent using Jamii Forums mobile app