TheGodfather95
JF-Expert Member
- Sep 27, 2014
- 1,763
- 1,830
170,000 mkuu.Natafuta kioo cha samsung j7 nakipata kwa sh, ngapi mkuu?
nauza samsung A3
price 550000/=(laki tano na hamsini)
warrant 2yrs;mpya inawik mbili tu,haina tatzo lolote
camera ipo kwny ubora wak;wanaotumia/waliotumia hiz smatfon wanajua hilo
#ukihitaji nichek 0719664714
Ninaiuza samsung S2 yangu nimeinunua kama miezi mitatu iliopita mpya sasa ikaingia maji nikaipeleka kwa fundi akaniambia sacket imekufa lazima ninunue mpya i did that ila hii mpya nilioinunua ina ni ya korea i think mpaka ifanyiwe setting kwnye software saababu siwezi kucheki salio nikibonyeza *102# inaji dial moja kwa moja na pia sms zinasema fail tatizo lake ndio hilo tu. Sababu nyingine ya kuiuza ni kwa ajili nimeagiza simu mpya kwa sister anakuja mwisho wa mwezi huu likizo.. alie inyrestd anicheki namba ni 0712220207. bei ni 150
Nina note 4 mpyaa kabis hata line haijawahi kuwekwa na gharama yake ni 1.3 bei maelewano inashuka njoo tubonge.....ni 32GB
Vp kaka..unaweza ukanifanyia mishe housing ya huawei p6 hata kama used ila isiwe na michubuko?
Jamani natafuta kioo cha note 3 original hata used poa offer yangu 150k
Hata Note 9 huuzi kwa bei hioo....Huna nia ya kuuza hiyo cm note 4 M1.3 kwel? Na note 8 utauza bei gani? Acheni sifa
Sent from my iPhone using JamiiForums
Fundi simu nna samsung a 20 imekufa kioo naweza kupata kwa sh ngapi? Na je nikiamua kuiuza cm hvo hvo mbovu itauzika kwa sh ngapi?Kwanza hiyo simu S2 vision yake ni ndogo mno! Na kama hailet majibu ukiuliza salio hapo inabidi ibadilishwe file yaani (firmware update) pia huwezi uza kwa bei hiyo and I think hata whatsapp for now haisapote tena coz ya old vision. Me ni FUNDI SIMU KARIAKOO hardwares na software. asante
Sent from my iPhone using JamiiForums
Coolpad legeacy
3gb 32gb
265000/=View attachment 1371041View attachment 1371042
Sent using Jamii Forums mobile app
Coolpad legeacy
3gb 32gb
265000/=View attachment 1371041View attachment 1371042
Sent using Jamii Forums mobile app
huyo sio muuza simuA3 550000 na A40 ya mwaka huu bei gani ?
Mbona mna bei zaajabu saana? Wekeni bei kulingana na wakat sio ulinunua bei ghali na wewe wataka ulipize kisasi hamtukomoi sisi... [emoji1492]
Sent from my iPhone using JamiiForums
Coolpad legeacy mzee babaHili dude gani mkuu?
Sent using IPhone X
Uko wapi mkuu??huyo sip muuza simu mtumiaji simu mana hiyo bei yake hata mm nimeshangaa mana hata dukani mpya hawauzi hvyo
A3 2017 ninayo nataka 165000/= ipo very cleanView attachment 1371362
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hiyo bei ya kioo au bei ya simu mpya170,000 mkuu.
Kanunue simu mpya boss.Mkuu hiyo bei ya kioo au bei ya simu mpya
GalaxyNote 4 brand new
250,000
View attachment 1370755View attachment 1370756
Sent using Jamii Forums mobile app