TheGodfather95
JF-Expert Member
- Sep 27, 2014
- 1,763
- 1,830
Nokia 106- 48,000Wakuu natafuta kitochi cha bei ya chini
Sifa kuu kiwe kinaonyesha SMS backvround nyeupe na maandishi meusi
Nokia 105- 45,000
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nokia 106- 48,000Wakuu natafuta kitochi cha bei ya chini
Sifa kuu kiwe kinaonyesha SMS backvround nyeupe na maandishi meusi
Mkuu ipo tecno camon cm150 iko mfuko wa shati
Kuna watu wanauza simu alafu wanaripoti polisi wameibiwa unapo nunua kitu kwa mtu usiyemfahamu kuwa makini.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanini ununue simu kwa mtu usiye mfahamu?Kuna watu wanauza simu alafu wanaripoti polisi wameibiwa unapo nunua kitu kwa mtu usiyemfahamu kuwa makini.
Sent using Jamii Forums mobile app
Cheki bei ulioandika. UrekebisheTecno camon cm iko vizuri kama unavyoiona hapa, bei 1500000
Note: bei hii haipungui wala kuongezeka
Sasa mfano ww jossiest unapo post sim humu unapost kwa unao wajua au ni vp?nashauri bora mngetoa njia rahisi ya kusaidia kuepuka huo utapeli,kila mtu ana post bidhaa humu il watu waione ukivutiwa umtafute.Kwanini ununue simu kwa mtu usiye mfahamu?
Polisi wa bongo ni njaa kali sana ndo michezo yao hii sana.
Wakijua wewe ni mtu wa kupakua simu wanakutafta wanakuambia kuna simu hapa au hata wanakuseti uvunje nao( wanakupa simu na hela kidogo) wanachukua simu kubwa zaidi. Mara nyingi huwa ni simuzenye thamani kwanzai millioni moja kwenda juu( x,xmax, 11,11pro na 11 pro max) alafu baadae wanakutafta tena wanajifanya io simu iliibiwa kuna kesi na upelelezi unaendelea blahbhlah kibao do hio simu wanakunyangaanya na pia wanakutia ndani na hela nyingine unawapa wanakula.
Huu mchezo unachezwa sana na mapolisi wa pale osterbay so vijana wenzangu wapammbanaji kuweni makini kamwe usinunue simu kwa mtu usiyemjua au rafiki yako asiyemjua hata deal iwe tamu vipi kuweni makini.
Aluta continua[emoji1666]
Sent using Jamii Forums mobile app
Samsung Galaxy S8+
Storage 64gb
Ram 8Gb
Model from Uk
Color Black
SIM CARD : Duos
Anyone interested PM simu haina tatizo used 4 months
PRICE 500k Maongezi ruksaView attachment 1422040View attachment 1422042
Sent using Jamii Forums mobile app
Boss kwema?Sasa mfano ww jossiest unapo post sim humu unapost kwa unao wajua au ni vp?nashauri bora mngetoa njia rahisi ya kusaidia kuepuka huo utapeli,kila mtu ana post bidhaa humu il watu waione ukivutiwa umtafute.
Sent using Jamii Forums mobile app