Wauza smartphone tukutane hapa

Habari ndugu mi natafuta hii simu ndogo T Smart au smart kitochi kama ilivyo maaruf mitaani kama unayo nicheki tufanye biashara
 
Kuna jamaa jana alikuja hapa na kutahazarisha watu kuhusu simu zenye stickers from China and Dubai.
Alisema wazi kabisa hizo simu ni feki.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…