Wauza smartphone tukutane hapa

Nimechoka na NOKIA 2 hii, embu mwenye bei yoyote aje inbox nimpe

haina shida sema hua sipendi kukaa na simu mda mrefu sana napenda kubadilisha, ndivyo nilivyo, na ni mtunzaji kwaio iko kwenye hali nzuri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii issue ilinikuta miaka mitatu nyuma. Nilinunua samsung s6 edge. Kilichonikuta ni kuwa nilikaaa na simu kwa muda wa mizi mitatu. Yule yule aliyeniuzia aliniletea polisi akidai ile simu aliyoniuzia ilikua ya wizi aliyemuuzia yeye hakusema ukweli. Nikapelekwa kituoni osyterbay wakachukua simu. Iliniuma sana yule dada kila nikimwambia anirudishie hela yangu, anakua mbogo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa mfano ww jossiest unapo post sim humu unapost kwa unao wajua au ni vp?nashauri bora mngetoa njia rahisi ya kusaidia kuepuka huo utapeli,kila mtu ana post bidhaa humu il watu waione ukivutiwa umtafute.

Sent using Jamii Forums mobile app
Njia rahisi katika biashara hizi za kutokujuana vyema aje na national id ,pia kwa usalama ili kuepuka usumbufu ukifatwa na kelele za waganga njaa mkaandikishiane kwa mwanasheria maana cost huwa ndogo tu 10% ya bei husika.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ps3 slim
320gb
Two new controllers
Fifa20
Fifa19
Motorkombat
Pes18
Tsh 430,000 only
Inquiries: 0714 036595 WhatsApp &Call
 

Attachments

  • 1D803267-AB60-470D-96C9-28645E20F782.jpeg
    111.7 KB · Views: 3
  • 326DA1D2-4C91-44EA-A937-B5C3B928875C.jpeg
    121 KB · Views: 3
  • 38D2F80C-9C91-4E02-A8BE-40571FDC8FE5.jpeg
    120.8 KB · Views: 3
Jayphones&services Phone Price List


SAMSUNG A SERIES

Samsung A2 Core 16GB- Tsh 200,000
Samsung A01 2GB RAM 16GB- Tsh 240,000
Samsung A10S - Tsh 290,000
Samsung A20S - Tsh 430,000
Samsung A30S - Tsh 480,000
Samsung A50- Tsh 650,000
Samsung A51- Tsh 700,000
Samsung A70- Tsh 860,000
Samsung A71- Tsh 980,000
Samsung A80- Tsh 1,330,000
Samsung Tab A- Tsh 450,000

SAMSUNG S SERIES

Samsung s6- Tsh 280,000
Samsung S7- Tsh 420,000
Samsung S7 Edge- Tsh 530,000
Samsung S8 Plus- Tsh 730,000
Samsung S9 Plus- Tsh 950,000
Samsung NoTe 9 128GB- Tsh 1,250,000

INFINIX

Infinix hot 8 LiTe- Tsh 270,000
Infinix Hot 8 4G- Tsh 295,000
Infinix S5 64GB- Tsh 400,000
Infinix S5 128GB- TSh 490,000
Infinix S5 Pro- Tsh 550,000
Infinix smart 4 16GB- Tsh 260,000
Infinix Note 6- Tsh 455,000
Infinix S4 32GB- Tsh 340,000
Infinix S4 64GB- Tsh 400,000
Infinix S5 Lite- Tsh 310,000


TECNO

TECNO S3- Tsh 89,000
TECNO F1- Tsh 120,000
TECNO R7- Tsh 150,000
TECNO POP 2F- Tsh 170,000
TECNO POP3 - 200,000
TECNO 2PLUS- 245,000
TECNO POUVOIR 3 AIR- Tsh 270,000
TECNO SPARK 4 AIR- Tsh 340,000
TECNO DROP IPAD 7F- Tsh 250,000
TECNO SPARK 4- TSh 380,000
TECNO CAMON 12 AIR- Tsh 300,000
TECNO CAMON 12- Tsh 350,000
TECNO CAMON 12 PRO- Tsh 450,000
TECNO CAMON 15- Tsh 420,000
TECNO PHANTOM 9-Tsh 580,000.

Ps: Wateja wa Jayphones&services ningependa wajulisha bei ya A50 na A51 zimepanda ila simu nyingine bei ipo pale pale, Asanteni.

WhatsApp&CALL 0714 036595
 
Nkihitaji spare parts ntapata

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…