Nina S7 plain, una 400,000? Ni 32GB, Gold.Nahitaji sumsung note 5 mpya, au sumsung j5, au S6 au A30s....mwenye nazo hizo anijulishe,,
simba taifa kubwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nina S7 plain, una 400,000? Ni 32GB, Gold.Nahitaji sumsung note 5 mpya, au sumsung j5, au S6 au A30s....mwenye nazo hizo anijulishe,,
simba taifa kubwa
Hii Bado ipo?Tecno spark 4 Bado ni mpya nimeitumia kidogo nahitaji 190,000/= nipo dsm
Nimechoka na NOKIA 2 hii, embu mwenye bei yoyote aje inbox nimpe
haina shida sema hua sipendi kukaa na simu mda mrefu sana napenda kubadilisha, ndivyo nilivyo, na ni mtunzaji kwaio iko kwenye hali nzuri.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii simu bado unayo?Samsung Galaxy S8+
Storage 64gb
Ram 8Gb
Model from Uk
Color Black
SIM CARD : Duos
Anyone interested PM simu haina tatizo used 4 months
PRICE 500k Maongezi ruksaView attachment 1422040View attachment 1422042
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii issue ilinikuta miaka mitatu nyuma. Nilinunua samsung s6 edge. Kilichonikuta ni kuwa nilikaaa na simu kwa muda wa mizi mitatu. Yule yule aliyeniuzia aliniletea polisi akidai ile simu aliyoniuzia ilikua ya wizi aliyemuuzia yeye hakusema ukweli. Nikapelekwa kituoni osyterbay wakachukua simu. Iliniuma sana yule dada kila nikimwambia anirudishie hela yangu, anakua mbogoPolisi wa bongo ni njaa kali sana ndo michezo yao hii sana.
Wakijua wewe ni mtu wa kupakua simu wanakutafta wanakuambia kuna simu hapa au hata wanakuseti uvunje nao( wanakupa simu na hela kidogo) wanachukua simu kubwa zaidi. Mara nyingi huwa ni simuzenye thamani kwanzai millioni moja kwenda juu( x,xmax, 11,11pro na 11 pro max) alafu baadae wanakutafta tena wanajifanya io simu iliibiwa kuna kesi na upelelezi unaendelea blahbhlah kibao do hio simu wanakunyangaanya na pia wanakutia ndani na hela nyingine unawapa wanakula.
Huu mchezo unachezwa sana na mapolisi wa pale osterbay so vijana wenzangu wapammbanaji kuweni makini kamwe usinunue simu kwa mtu usiyemjua au rafiki yako asiyemjua hata deal iwe tamu vipi kuweni makini.
Aluta continua[emoji1666]
Sent using Jamii Forums mobile app
Humu unafahamiana na kila mtu mzee?Kwanini ununue simu kwa mtu usiye mfahamu?
Njia rahisi katika biashara hizi za kutokujuana vyema aje na national id ,pia kwa usalama ili kuepuka usumbufu ukifatwa na kelele za waganga njaa mkaandikishiane kwa mwanasheria maana cost huwa ndogo tu 10% ya bei husika.Sasa mfano ww jossiest unapo post sim humu unapost kwa unao wajua au ni vp?nashauri bora mngetoa njia rahisi ya kusaidia kuepuka huo utapeli,kila mtu ana post bidhaa humu il watu waione ukivutiwa umtafute.
Sent using Jamii Forums mobile app
Pamoja sana MkuuAhsante sana sana sana, nimempata hapa naelekea Dsm sasa nikachukue, ahsante mno [emoji1431][emoji1360][emoji736][emoji736][emoji736]
Few years from now you may wish you should have started today...
natamani oppo moja kali sanaKula huku Mzee baba
Sent using IPhone X
Nauza simu sealed na kama ni used no iPhone tu. Napopatikana Pako wazi. So hata issue ikitokea mahali nilipo unapajua.Humu unafahamiana na kila mtu mzee?
Au unaona hao wanaouza wanacheza
Sent using Jamii Forums mobile app
Naitaka hiiBuda Water Pump
- Ni rahisi kutumia
-Inatumia Usb Cable (smartphone charger) kucharge
-Inatunza Charge ndani Mwezi Mmoja na zaidi
- Inatumika Nyumbani, Ofisini na Outdoor Events,
[emoji625]Tupo Kariakoo Livingstone,Pemba street
Price
Tsh 35000/=
WhatsApp & Calls
0714122948
Delivery ipo Ukihitaji
Mikoani Tunatuma pia
KARIBUNI SANA..View attachment 1441586View attachment 1441587
Sent using Jamii Forums mobile app
Nkihitaji spare parts ntapataJayphones&services Phone Price List
SAMSUNG A SERIES
Samsung A2 Core 16GB- Tsh 200,000
Samsung A01 2GB RAM 16GB- Tsh 240,000
Samsung A10S - Tsh 290,000
Samsung A20S - Tsh 430,000
Samsung A30S - Tsh 480,000
Samsung A50- Tsh 650,000
Samsung A51- Tsh 700,000
Samsung A70- Tsh 860,000
Samsung A71- Tsh 980,000
Samsung A80- Tsh 1,330,000
Samsung Tab A- Tsh 450,000
SAMSUNG S SERIES
Samsung s6- Tsh 280,000
Samsung S7- Tsh 420,000
Samsung S7 Edge- Tsh 530,000
Samsung S8 Plus- Tsh 730,000
Samsung S9 Plus- Tsh 950,000
Samsung NoTe 9 128GB- Tsh 1,250,000
INFINIX
Infinix hot 8 LiTe- Tsh 270,000
Infinix Hot 8 4G- Tsh 295,000
Infinix S5 64GB- Tsh 400,000
Infinix S5 128GB- TSh 490,000
Infinix S5 Pro- Tsh 550,000
Infinix smart 4 16GB- Tsh 260,000
Infinix Note 6- Tsh 455,000
Infinix S4 32GB- Tsh 340,000
Infinix S4 64GB- Tsh 400,000
Infinix S5 Lite- Tsh 310,000
TECNO
TECNO S3- Tsh 89,000
TECNO F1- Tsh 120,000
TECNO R7- Tsh 150,000
TECNO POP 2F- Tsh 170,000
TECNO POP3 - 200,000
TECNO 2PLUS- 245,000
TECNO POUVOIR 3 AIR- Tsh 270,000
TECNO SPARK 4 AIR- Tsh 340,000
TECNO DROP IPAD 7F- Tsh 250,000
TECNO SPARK 4- TSh 380,000
TECNO CAMON 12 AIR- Tsh 300,000
TECNO CAMON 12- Tsh 350,000
TECNO CAMON 12 PRO- Tsh 450,000
TECNO CAMON 15- Tsh 420,000
TECNO PHANTOM 9-Tsh 580,000.
Ps: Wateja wa Jayphones&services ningependa wajulisha bei ya A50 na A51 zimepanda ila simu nyingine bei ipo pale pale, Asanteni.
WhatsApp&CALL 0714 036595