project planner
JF-Expert Member
- Jul 8, 2019
- 1,170
- 1,545
Hivi mpya kabisa zinapatikana mpaka Sasa au ndio zile zilizowahi kuwa na tatizo zikarudishwa dukani sijui zinaitwaje kwa kimombo★Utaipata Dukani ila Bei nimeisahau kidogo★
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi mpya kabisa zinapatikana mpaka Sasa au ndio zile zilizowahi kuwa na tatizo zikarudishwa dukani sijui zinaitwaje kwa kimombo★Utaipata Dukani ila Bei nimeisahau kidogo★
Refurbished,Hivi mpya kabisa zinapatikana mpaka Sasa au ndio zile zilizowahi kuwa na tatizo zikarudishwa dukani sijui zinaitwaje kwa kimombo
Binafsi sifahamu kuhusu Apple za uk na US bali kuna fake iPhones ambazo kwa macho na kama sio mtumiaji mzoefu huwezi kutofautisha.Salaam wakuu...
Naomba kujuzwa tofauti kati ya iphone from CHINA/UK/AMERICA ni ipi?
Yaani nazitofautishaje!
Mkuu una Samsung s9+ sealed kabisa mpyaKwa mahitaji ya simu n’a accessories za aina zote wasiliana na mimi 0714036595 WhatsApp &Call
Ndio mkuu ninayo. 0714036595Mkuu una Samsung s9+ sealed kabisa mpya
Bei gani mkuu unuza isiwe refinished wereNdio mkuu ninayo. 0714036595
850,000Bei gani mkuu unuza isiwe refinished were
Gb ngapi na nitapata ya blue au kijivu ?850,000