Refurbish Phones ni simu asilimia kubwa huwa Mbovu na hufanyiwa marekebisho na kuwekaa vitu ambavyo sio Genuine..pia huuzwa bei rahisi sana kwa sababu sio Simu Genuine wala Original
mfano mzuri hizi ni bei za China
6 bei ni 170,000/=
6+ bei ni 200,000/=
7 bei ni 370,000/=
X bei ni 740,000/= mpaka 680,000/=
Simu za Samsung kama umechunguza sana na kwa umakini kuna simu huwa ukitumia kama note 4,5 au S6,S7 edge huwekwa Display na pia mashine sio Ile Genuine kwa kuwa na mapungufu hutengenezwa na kama umewahi kuona kuna Icon hubakia juu ya display mfano halisi upo kwenye picha.
Simu za iPhone hufunguliwa na kuchezewa mashine kwa ufundi wa kubadilisha vitu sana sana kama AC zilizochoka na kuwekwa zingine pia huwekwa vioo low material na Body ambazo haziko Quality hata kwa muonekano tu lakini ni lazima uwe unazijuwa kwa undani .
Baada ya hapo ndio mwenye kumiliki hizo simu kutengenezwa na dealer huakikisha anaweka sticker zake zenye maneno ya Kichina ama jina lake ila kwa sasa wauzaji wengi sio wakweli na pia hubandua hizo sticker kwa nje na hubakia kwa ndani ili mteja asiweze kujua maana wengi hawajui kukagua simu bali wanapenda kununua simu kwa bei rahisi na gharama zake zikiharibika ni kubwa sana kutengeneza ni bora kununua simu Genuine unatumia miaka mingi zaidi
kama alama kwenye maeneo yenye Nut ndani na nje ili mnunuzi aweze kupewa warranty ya return huko china na dubai ila kwa wateja hutoa gurantee.
Kwa hapa kwetu Tanzania huwa hatuna Gurantee popote pale lazima upewe Warranty kwahiyo Ogopa sana unaponunua kitu chochote kile na kupewa Gurantee.
Na unaponunua simu za Refurb ni lazima ije kukusumbua hapo baadae kwa nyakati tofauti
Mfano mzuri - AC touch huwa inagoma kutouch na kuna muda inakubali simu zote za iPhone , Ac charger , Battery , Ac Battery , Ac Torch , Ac audio huwa huwezi kupiga simu wala kupokea simu na mkasikilizana , AC bluetooth and Wifi huwa haviwaki kabisa maana Ac zake zipo eneo moja kikifa kimoja hufa vyote ,
Ukihitaji kujuwa tofauti ya Warranty na Gurantee na Refrubished ingia Google kasome.
Kama una maswali zaidi au ukihitaji kufahamu zaidi