hahah haifai mkuu Google Pixel ndio giants wa Android yani hii 3a inapata updates za android zote mfano sahivi ipo Android 11, wakati samsung note 8 inaishia Android 9, note 10 inaishia Android 10.. njoo kwenye camera hii ngoma hai disappoint, upande wa picha hii pixel 3 haiguswi na iphone zote hadi iphone X, cheki sample ya picha below au cheki YouTube pixel 3 vs iphone X camera comparison, pia ipo very fast yani haiwezi kulag hata siku moja yani... hizi simu wabongo bado hawajawa aware nazo ila zikishika kasi watu wanavopenda picha watasahau iphoneChukua 300k bro nakutoa sasa ivi
njoo chukua Google Pixel 3a mpya mkuu best camera phone 2018/18, updated to Android 11.. full boxed 32 gb, 580k maongez kidogo yapouna redmi note 8 mpya? unauzaje?
mkuu njoo nikupe Google Pixel 3a mpya full boxed kwa 580k maongez yapo kidogo.. Androud 11, best camera phone..Natafuta Samsung s8plus used
Iphone genuine ni inayotoka apple store au ununue kwenye website ya Apple, hizi iphone za huku bongo zote sio genuine na gazitengenezwi na apple, apple wanatoa tu chip ile then makampuni tofauti yanatengeneza iphone then ndo zinauzwa offline market ndio maana ni bei chee, cheki iphone XR ya makumbusho ni kama 1.3 hivi na hapo mtu ashaeka udafiri, kodi na faida yake, ila nunua iphone XR kwenye website ya apple, ni karibia 1.6m hivi .. hapo ndo utajua tofautiBinafsi sifahamu kuhusu Apple za uk na US bali kuna fake iPhones ambazo kwa macho na kama sio mtumiaji mzoefu huwezi kutofautisha.
Kwa uelewa wangu IPhone takriban zote designed by Apple in California,assembled in China.
Kutambua iphone fake ni rahisi sana.ziko njia nyingi as kutambua lakini njia ya uhakika ni kwamba
Haikubali email ya Apple.(icloud)
Kinyume cha hapo kama hujawahi kutumia Apple unaweza kupigwa tu kama kawaida.
mkuu nina Google Pixel 3a offline market 32 Gb full boxed mpya, 580k negotiable.. if interested nicheki 0682521021View attachment 1527543View attachment 1527544natafuta google pixel 3xl, kama unayo njoo tuongee biashara
Offline market una maana gani bossmkuu nina Google Pixel 3a offline market 32 Gb full boxed mpya, 580k negotiable.. if interested nicheki 0682521021View attachment 1527543View attachment 1527544View attachment 1527545
Ni kama iphone zinazouzwa bongo mkuu, yani hazijatoka from Google shop au from their website, hizi zinatengenezwa kwaajili ya sehemu ambazo hawaja target market yao example huku AfricaOffline market una maana gani boss
Karibu sana mkuu, nicheki kwa maongezi zaidiNimeipenda hii simu.
Zipo mkuu, 500,000.una redmi note 8 mpya? unauzaje?
kwa hyo bei tujipangie au vipiPhone 7 plus Gb 32 black.
Battery 90%
Kila kitu kipo sawa
Haina tatzo lolote.
0755-655516
Location Dar
View attachment 1527102View attachment 1527103View attachment 1527104
unapatikana wap mkuu,,, alfu naomba kuuliza hiv naweza kupata kitu kama Bluetooth cha kuchomeka kwny tv alfu nikawa nakonect na pc au simuVGA to HDMI Conveter
Display to HDMI conveter
Sh 35000 kwa kila mojaView attachment 1527107View attachment 1527108View attachment 1527112
unapatikana wap mkuu,,, alfu naomba kuuliza hiv naweza kupata kitu kama Bluetooth cha kuchomeka kwny tv alfu nikawa nakonect na pc au simu
Sent from my Nokia 2 using JamiiForums mobile app
unapatikana wap mkuu,,, alfu naomba kuuliza hiv naweza kupata kitu kama Bluetooth cha kuchomeka kwny tv alfu nikawa nakonect na pc au simu
Sent from my Nokia 2 using JamiiForums mobile app
Itakuwa inasimama Bei gani mkuuNasubiri latest Samsung M31s kesho iingie sokoni rasmi, yeyote mwenye njia rahisi ya kuipata Naomba tujuzane..