ngebo
JF-Expert Member
- Sep 8, 2017
- 1,684
- 2,126
hahah haifai mkuu Google Pixel ndio giants wa Android yani hii 3a inapata updates za android zote mfano sahivi ipo Android 11, wakati samsung note 8 inaishia Android 9, note 10 inaishia Android 10.. njoo kwenye camera hii ngoma hai disappoint, upande wa picha hii pixel 3 haiguswi na iphone zote hadi iphone X, cheki sample ya picha below au cheki YouTube pixel 3 vs iphone X camera comparison, pia ipo very fast yani haiwezi kulag hata siku moja yani... hizi simu wabongo bado hawajawa aware nazo ila zikishika kasi watu wanavopenda picha watasahau iphoneChukua 300k bro nakutoa sasa ivi