Wauza smartphone tukutane hapa

Nataka Tecno boom J, Nina Tecno y3 kuhusu kiwango cha Juu nambie niongeze Tsh ngapi?
 
M1 mnaicha hivi hivi? Yaan mnashindwa kweli kupata iphone 6+?!!

mkuu ingekuwa 6 ungepata ninazo zote 6+ na 6 ila 6+ siwezi kutoa kwa hiyo bei.6 niliyonayo ni nyeupe 64gb very clean
 
Nina samsung galaxy j7(muvika)...mpyaaa...warranty miaka miwili...camera 13mp nyuma..5mp mbele...ina flash mbele na nyuma..na imeingizwa kwenye droo unaweza ukajishindia tv...pluss...screen protector ya glass..na cover...nahitaji 520k..fastaa...nipo mabibo dsm...nipigie au whatsapp kwa 0713 190 118
 
OFA OFA OFA OFA OFA OFA!!!!!
Kuna simu 5 zinauzwa kama ifuatavyo:-
Huawei ascend G-610 imetumika mwez mmoja tu na bei yake ni 170,000/=
Tecno h6 bei ni 140,000/=
Huawei ascend y530 bei ni 100,000/=
Huawei ascend y320 bei ni 80,000/=
Sony xperia XBO bei ni 90,000/= Punguzo kidogo lipo... kama upo interested waweza nicheck kwa 0765935449 au 0713672532 tufanye biashara.... simu zote ziko pouwa.... napatikana mabibo dsm... karibuni
 
Haya naomba bei...? Nimenunua ya tigo ya 4G... Naiuza hiyoo..
 

Attachments

  • 1449768578668.jpg
    30.5 KB · Views: 276
  • 1449768589123.jpg
    32.7 KB · Views: 261
Natafuta iPhone 5 (white) yenye iCloud ila kioo kiwe kizima. Quote au ni PM tufanye biashara.
 
Yeah, inatumia sim card za kawaida, ni 32 gb, na ina flash camera. Ipo ktk hali nzuri sana, haina mpasuko wala ufa wowote. Ina charger yake iliyokuja nayo pamoja na cover lake. Ila bei imesimama kutokana na ubora wake na hali iliyonayo, naiuza 650/=
 
Inatumia line (sim card)??
Bei yake je??
Yeah, inatumia sim card za kawaida, ni 32 gb, na ina flash camera. Ipo ktk hali nzuri sana, haina mpasuko wala ufa wowote. Ina charger yake iliyokuja nayo pamoja na cover lake. Ila bei imesimama kutokana na ubora wake na hali iliyonayo, naiuza 650/=
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…