Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
M1 mnaicha hivi hivi? Yaan mnashindwa kweli kupata iphone 6+?!!
Ninahitaji iphone 6 yenye icloud mwenye nayo ani pm tafadhali
mkuu ingekuwa 6 ungepata ninazo zote 6+ na 6 ila 6+ siwezi kutoa kwa hiyo bei.6 niliyonayo ni nyeupe 64gb very clean
Nahitaji iphone 6,
Nina elfu 50
tecno y7 mwenye nayo
samahani wakuu bei ya tecno j7 ni shilingi ngapi?
Nauza tablet aina samsung galaxy note 10.1
Yeah, inatumia sim card za kawaida, ni 32 gb, na ina flash camera. Ipo ktk hali nzuri sana, haina mpasuko wala ufa wowote. Ina charger yake iliyokuja nayo pamoja na cover lake. Ila bei imesimama kutokana na ubora wake na hali iliyonayo, naiuza 650/=Inatumia line (sim card)??
Bei yake je??