Wauza smartphone tukutane hapa

Wauza smartphone tukutane hapa

Samsung A10 used 3months
Warranty 24months
Dark display
32 gb storage
2 gb ram
Battery health 100%
Dual camera
Fingerprint
220,000/ but 200,000 nachukua na cm ndogo ya batani
Location sumbawanga
Contact 0746866631
NB, simu haina shida yoyote wala haijapasuka au mkwaluzo sehemu. Ni ugumu wa maisha tu wakuu, nimeshindwa ku-upload picha coz nipo natumia jf ya free basic.
Karibuni. But kama upo interested ntakutumia picha ata whatsp
 
samsung A10s
ram 2gb
internal 32gb
no 0714018677
location kimara
cm bado ipo vizuri haina shida yoyote
bei 230000
 
Ahaaaaaaa
Natangaza tenda watu hawaji mkuu, Samsung A10
215,000 au 200,000 na simu ndogo ya batani tu, imetumika miezi miwili mkuu. Nimetingwa hali imekuwa ngumu sanaaa, laki mbili hiyo nina shida nayo balaaa
 
Samsung A10
Imetumika miezi miwili kuelekea mitatu
2 gb ram
32 gb internal storage
Dual camera
Betri linatunza sana moto, ck 1 na masaa saba had kumi
Haina tatz, wala haina mkwaruzo sehemu.
Jamani nisaidieni mwenzeni hii n changamoto ya hela. Sina ata mia hapa. Mlo mmoja utanitesa jamani. Plz kununua simu yangu ni kunisaidia mimi.
Ina documents zote yan chaja box na malisti yake
Naiuza 215,000 au 200,000 na kisimu kidg kwa ajiri ya matumizi mana sina simu nyingne, hiyo laki mbili nahitaji niifanye kama mtaji. Plz jaman nisaidieni.
Nipo sumbawanga hata ukiwa mbali ntakutumia tu jamani sina utaperi wowote au kama una mtu yupo huku sumbawanga basi unaweza mtuma aje aicheki😔😔
 
Kwa anayetaka simu za jumla kutoka China au laptop original (Refubrished ) unaweza ukanicheki.Bongo tuna ofisi Infinix building lakini bei za kuuzia bongo ni tofauti na uki order mzigo wako na tukakutumia
 
Pay after delivery ipo?
 
Mkuu 200,000 ndo bei ya dukani mkuu?
Hiz hela zinakolala hizi. Alafu simu imetumika miez mitatu kasoro na ina warranty ya miez 24 , ata robo ya matumiz ya warranty bado kufika😁
Anyway asante mkuu kwa ushauri
Tatizo unataka kuuza kwa bei za dukani,na huku town watu wengi ni wajanja wa simu.
 
Pay after delivery ipo?
Inafatana na mzigo mkubwa kiasi gani.Hii iliwahi kuleta shida kabla,mtu anaweka order afu mzigo ukisha fika ana kwambia ashanunua kwingine ama hela sijui next week,na hapo ndio tatizo.
So sasa hivi sharti ni unalipa 30% ya pesa ya mzigo ofisini kkoo(pysical office),then hela utamalizia mzigo wako ukifika.Hii imesaidia kutuondolea usumbufu wa mizigo inayo kosa watu wa kuchukua ikishafika.
 
Tuwekee angalau picha mfano baadhi ya vitu sasa tuweke order
 
Back
Top Bottom