Baba Rayhaan
JF-Expert Member
- Mar 24, 2011
- 634
- 436
Badoo ipo?Samsung Galaxy S7 edge 280k
Simu ipo clean haina kipenqele chochote
Ram 4gb
Rom 32gb
0679730349View attachment 1692558View attachment 1692559View attachment 1692560View attachment 1692561View attachment 1692562
Uko wapii
Battery health
Fingerprint???
Mkuu tayari imetoka.
Mkuu nunua yang bc naimani hujabakiwa na cm nzur[emoji16]
Natangaza tenda watu hawaji mkuu, Samsung A10Ahaaaaaaa
Pay after delivery ipo?Kwa anayetaka simu za jumla kutoka China au laptop original (Refubrished ) unaweza ukanicheki.Bongo tuna ofisi Infinix building lakini bei za kuuzia bongo ni tofauti na uki order mzigo wako na tukakutumia
Natangaza tenda watu hawaji mkuu, Samsung A10
215,000 au 200,000 na simu ndogo ya batani tu, imetumika miezi miwili mkuu. Nimetingwa hali imekuwa ngumu sanaaa, laki mbili hiyo nina shida nayo balaaa
Tatizo unataka kuuza kwa bei za dukani,na huku town watu wengi ni wajanja wa simu.
Nina uza iphone 7 plus
Gb 128
Fingerprint nzima na kila kitu kizima
Betri capacity 75
Charger free na Bluetooth earphones
#location ~dodoma area c
Price 550,000/=
Pia
Exchange allowed na hela ya ziada
Contact +255 734 243 974
Note: simu ni yangu, used
View attachment 1693017
nina infinix HOT 9, imetumika wiki 3, nakupa na list ina 64GB, na full box juu, list ya duka na TRA ipo
200Knina infinix HOT 9, imetumika wiki 3, nakupa na list ina 64GB, na full box juu, list ya duka na TRA ipo
Inafatana na mzigo mkubwa kiasi gani.Hii iliwahi kuleta shida kabla,mtu anaweka order afu mzigo ukisha fika ana kwambia ashanunua kwingine ama hela sijui next week,na hapo ndio tatizo.Pay after delivery ipo?
Tuwekee angalau picha mfano baadhi ya vitu sasa tuweke orderInafatana na mzigo mkubwa kiasi gani.Hii iliwahi kuleta shida kabla,mtu anaweka order afu mzigo ukisha fika ana kwambia ashanunua kwingine ama hela sijui next week,na hapo ndio tatizo.
So sasa hivi sharti ni unalipa 30% ya pesa ya mzigo ofisini kkoo(pysical office),then hela utamalizia mzigo wako ukifika.Hii imesaidia kutuondolea usumbufu wa mizigo inayo kosa watu wa kuchukua ikishafika.