Abuu95Kiago
JF-Expert Member
- Dec 31, 2018
- 336
- 129
Kiongozi unauza bei gani IPhone Xs-Max gb 64 used?
bado sijapata mkuu kuna mmoja humu aliniletea ila nimeona imechoka sana,,, alafu ilikuwa na charge asilimia75 kitendo cha kuizima na kuwasha ikafika 63Mkuu ushapata au bado?
Ingia instagram search PENTAGONNaomba kuuliza maduka ya Camera
Ivi ipi nzuri kati ya samsung s10 au iphone 8plus.