Pad7 nimeziona kariakoo leo 250k.....kwa maana hiyo unaweza pata 8 kwa 300k na hata pungufu ya hapo.....Msaada wakuu bei ya Tecno droipad 7 na Tecno droipad 8. Natanguliza shukrani.
kuna z30 ipo vzr tatzo kioo kimepasuka.Ukipata z30 .ni pm
mkuu mzigo bado upo?iPhone 5s
16 GB
Bei ni 650k
check me 0655350970
Nna htc droid incredible nauza 200...ila bei inapungua kidogo...vipi??natafuta simu bajeti yangu 300000 iwe samsung htc au sony
Pamoja na dishi lake au?? Fafanua mkuuNauza kingamuzi cha azam 48000
Niko dar!!.,,,P5 Nauza kwa elfu 85 au kama unataka tekno yeyote ile nitafute kwa namba 0714 00 39 59
Hyo P5 ni mpya? upo dar sehem gan?Niko dar!!.,,,P5 Nauza kwa elfu 85 au kama unataka tekno yeyote ile nitafute kwa namba 0714 00 39 59
unapatkana wap mkuu?hauza htc desire s kwa 85000 tu,kama unahitaji ntakutumia picha whatapp.0672110065
Nauza tablet aina ya Samsung Galaxy note 10.1. Ni 32 gb na inatumia line za kawaida kupiga na kupokea simu. ipo katika hali nzuri sana, haina crack yoyote. Ukubwa wake ni nchi 10.1. Npo dar, bei ni 600 tu. Namba 0713 925908
450k mbali sana mkuu, labda ongeza 100 iwe 550k. Chni ya hapo inakua ngumu sana mkuu wangu. Namba 0713 925908Ninaitaka mkuu,nina 450 cash