Wauza smartphone tukutane hapa

Wauza smartphone tukutane hapa

Nina samsung A5 nimeitumia wiki tu nikaiweka baada ya kupata iphone naiuza bei poa tu 370000, anayehitaji anicheki niko dar 0714702720
 
Kama ni mpenzi wa bidhaa bora za samsung fanya hivi,andaa 500k nikuachie kitu galaxy tab4. 8 inatumia 5.0.2 android lolipop 16GB,1.5GB RAM,imetumika 2months only!!!Au ni pm kwa maelezo zaidi!
 
Last edited:
Nauza tablet aina ya Samsung Galaxy note 10.1. Ni 32 gb na inatumia line za kawaida kupiga na kupokea simu. ipo katika hali nzuri sana, haina crack yoyote. Ukubwa wake ni nchi 10.1. Npo dar, bei ni 600 tu. Namba 0713 925908
 
Nauza au kubadilisha simu aina ya iphone 6s plus,nahitaji nahitaji Iphone 6s not plus,ni mpya kabisa ina siku 6 toka niipate.
 
Samsung s5 originally rangi ya gold ina miezi miwili price 550k if ur interested check 0714007173
 
Guys nahitaji galaxy S6 edge au edge plus na ipad air ziwe kwenye hali nzuri mwe nayo anitafute kwa namba hizi 0714648822/0768393948
 
Nauza tablet aina ya Samsung Galaxy note 10.1. Ni 32 gb na inatumia line za kawaida kupiga na kupokea simu. ipo katika hali nzuri sana, haina crack yoyote. Ukubwa wake ni nchi 10.1. Npo dar, bei ni 600 tu. Namba 0713 925908

Ninaitaka mkuu,nina 450 cash
 
Back
Top Bottom